UN yasikitishwa na hukumu ya kifungo dhidi ya mpinzani wa kisiasa Urusi
Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa, OHCR, imeelezea masikitiko yake kufuatia hukumu ya kifungo dhidi ya mpinzani wa kisiasa na mwanaharakati nchini Urusi, Aleksei Navalny.