Albino

Ukiwa na ulemavu wa Ngozi hata kupata mwenza ni mtihani:Chinemba

Changamoto zinazowakabili watu wenye ulemavu wa Ngozi ni nyingi, kuanzia unyanyapaa, kuporwa haki zao za kuishi, kupata elimu, kuthaminiwa na hata kupata wenza katika maisha.

Sauti -
4'9"

Hatua zichukuliwe kuwalinda wenye ulemavu wa ngozi Malawi:UN

Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wametaka hatua zaidi zichukuliwe kulinda watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Malawi baada ya mtu mmoja mwenye ulemavu wa ngozi kuuawa na mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja kutoweka. 

Akina baba msitukimbie, tuna uwezo!

Ilikuwa vigumu sana kwa wazazi wetu kutukuza watoto watatu wenye ulemavu wa ngozi. Hiyo ni kauli ya  Mawuyo Yakor-Dagbah, [YAKO DAGBA], raia wa Ghana mwenye ulemavu wa Ngozi.

Sauti -
1'38"

Baba msikimbie familia mtoto mlemavu wa ngozi anapozaliwa- Mawunyo

Pale familia moja inapokuwa na watoto watatu wenye ulemavu wa ngozi katika jamii ambamo kwayo bado kuna fikra potofu. Je hali inakuwa vipi?

Tushikamane tusongeshe haki za watu wenye ulemavu wa ngozi- UN

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kuelimisha jamii kuhusu watu wenye ulemavu wa ngozi au Albino, Umoja wa Mataifa unapigia chepuo zaidi harakati za kulinda kundi hilo ili liweze kuishi kwa amani bila woga.

Jina lako linapokuwa na maana kwenye maisha yako!

Nchini Ghana kama ilivyo katika nchi nyingine za Afrika, kuwa na ulemavu wa ngozi au Albino ni kikwazo siyo tu cha kijamii bali pia kiuchumi, amesema Makamu wa Rais wa shirikisho la vyama vya walemavu nchini humo, Mawunyo Yakor-Dagbah. Siraj Kalyango.

Sauti -
1'24"

29 Machi, 2018

Kutoka Ghana, Mawunyo ambaye ni mlemavu wa ngozi asema jina lake limekuwa na maana kubwa katika maisha yake. Ndoana yaokoa wavuvi wakimbizi huko Mediteranea. Makala inaangazia nuru iliyogusa watoto waliozaliwa na uziwi.

Sauti -
9'56"

Ndio sisi ni Albino, hata mikate tukioka hamnunui?

Ulemavu wa ngozi bado unasalia kuwa kikwazo wa wahusika kujikwamua siyo tu kijamii bali pia kiuchumi. Hata hivyo nuru inaangazia kule ambako jamii yenyewe inachukua hatua.