Afar

WFP yaomba msaada zaidi kusaidia nchini Ethiopia

Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani, WFP limesema linashughulikia mara moja mahitaji yanayoongezeka na kuonge

Sauti -
2'23"

Tunawahudumia kwa haraka Afar na Amhara lakini tunahitaji kuwezeshwa - WFP

Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani, WFP limesema linashughulikia mara moja mahitaji yanayoongezeka na kuongeza msaada wa chakula cha dharura katika maeneo ya Afar na Amhara nchini Ethiopia.