Wakimbizi wauawa na wengine kujeruhiwa Rwanda, UNHCR yashtushwa
Wakimbizi watano kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC wameuawa na wengine wengi, mkiwemo afisa wa polisi kujeruhiwa, wakati vikosi vya usalama vilipokuwa vinajaribu kuzima maandamano ya wakimbizi wa kambi ya Kiziba magharibi mwa Rwanda.