UNGA81 Siku ya Pili: Rwanda, Kenya, Uganda, DRC, Burundi, Libya, Iran na viongozi wengine
Malengo ya Maendeleo Endelevu
Kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa pamoja na hotuba za wakuu wa nchi na serikali kutakuweko na Mjadala wa Ngazi ya Juu kuhusu Haki ya Maendeleo, ikiwa ni pamoja wa utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu SDGs wakati huu ambapo imesalia chini ya miaka mitano kabla ya kufikia ukomo mwaka 2030.