Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanaume tuachieni 'wapenzi wenu' tuimarike mtanufaika – Gertrude Mongella

Bi. Mongella, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Mkutano wa CSW wa mwaka 1995 yuko kwenye mkutano huu CSW69 akizungumza na Anold Kayanda wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa.
UN News

Na Anold Kayanda
Wanawake

Mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake Duniani, CSW69 unafikia tamati hii leo Machi 21 hapa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani.

Bi. Gertrude Mongella, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Mkutano wa 4 wa Kimataifa wa wanawake maarufu kama Mkutano wa Beijing uliofanyika mnamo mwaka 1995, pamoja na umri wake mkubwa ameshiriki karibia vikao vyote vya mkutano huu wa CSW69 ambao pia ulikuwa unaangazia utekelezaji wa maazimio yaliyowekwa miaka 30 iliyopita chini yake mama Mongella.

Bi. Mongella, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Mkutano wa CSW wa mwaka 1995 yuko kwenye mkutano huu CSW69 akizungumza na Anold Kayanda wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa.
UN News
Bi. Mongella, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Mkutano wa CSW wa mwaka 1995 yuko kwenye mkutano huu CSW69 akizungumza na Anold Kayanda wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa.

Anold Kayanda amemuuliza swali hili la kichokozi

Mazungumzo zaidi kati ya Anold Kayanda na Mama Gertrude Mongella yatakujia katika vipindi vyetu vijavyo hivi karibuni.