Wataalamu wa UN walaani ubaguzi dhidi ya wageni nchini Afrika kusini

Tendayi Achiume, Mtaalamu Huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu aina za kisasa za ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya wageni akitoa maelezo kwa wanahabari katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York (Oktoba 2019)
UN Photo/Loey Felipe

Haki za binadamu

Wataalamu wa ubaguzi na ubaguzi wa rangi wa Umoja wa Mataifa wamelaani kuongezeka kwa vitendo vya ubaguzi dhid ya raia wa kigeni nchini Afrika kusini na kutaka nchi hiyo ihakikishe kuna uwajibikaji dhidi ya ubaguzi kwa wageni, kauli za chuki na ubaguzi wa rangi.