Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kuelekea siku ya malaria duniani Aprili 25, Kenya imepiga hatua gani?

Maendeleo katika kudhibiti malaria yalikuwa miongoni mwa sababu eneo la Afrika la WHO lilipata ongezeko kubwa zaidi la umri wa kuishi tangu 2000 kwa miaka 9.4 hadi miaka 60.
UNICEF / Adenike Ademuyiwa
Maendeleo katika kudhibiti malaria yalikuwa miongoni mwa sababu eneo la Afrika la WHO lilipata ongezeko kubwa zaidi la umri wa kuishi tangu 2000 kwa miaka 9.4 hadi miaka 60.

Kuelekea siku ya malaria duniani Aprili 25, Kenya imepiga hatua gani?

Afya

Kuelekea siku ya malaria duniani Aprili 25, Grace Kaneiya akiwa Nairobi, Kenya amezungumza na Dkt. Dan James Otieno kutoka Shirika la afya ulimwenguni, WHO nchini Kenya katika programu ya malaria inayofanya kazi kwa pamoja na wizara ya afya nchini humo.

Kwanza Otieno anaanza kwa kuelezea Kenya ilipofika vita dhidi ya malaria. 

Soundcloud