Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Niliamua kusamehe ili niweze kuishi- Sarah

Sarah Tikolo, (kulia)  muathirika wa tukio la ugaidi Kenya akimuonyesha vladimir Voronkov, Mkuu wa ofisi ya UN ya kushughulikia masuala ugaidi (kushoto) picha yake na maelezo kuhusu kile kilichomwezesha kusonga mbele.
UN/Eskinder Debebe

Amani na Usalama

Muathirika wa tukio la ugaidi kwenye ubalozi wa Marekani nchini Kenya tarehe 7 mwezi Agosti mwaka 1998, Sarah Tikolo amesema aliamua kusamehe watekelezaji wa shambulio hilo kwa mujibu wa imani yake ya dini na pia aweze kusonga mbele.

Sarah amesema hayo katika mahojiano maalum na Priscilla Lecomte wa Umoja wa Mataifa, baada ya kushiriki tukio la kumbukizi na kuenzi waathirika na manusura wa vitendo vya kigaidi.

(Sauti ya Sarah Tikolo)

Sarah akatoa ujumbe wake kwa jamii ya kimataifa na Umoja wa Mataifa akisema

(Sauti ya Sarah Tikolo)