Vita dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu ni jukumu la kila mtu:UN

Ushiriki wa jamii katika nafasi mbali mbali ni muhimu ili kukabiliana na changamoto ya usafirishaji haramu wa binadamu kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa.
Kwa mantiki hiyo wadau mbalimbali yakiwemo mashirika yasiyo ya kiserikali wameamua kujihusisha kwa njia moja au nyingine kupambana na uhalifu huo kama anavyofafanua Winnie Mutevu kutoka Shirika la Awareness against human trafficking jijini Nairobi nchini Kenya.
(Sauti ya Mutevu)
Bi Mutevu anasema moja ya changamoto kubwa ni suala hili kutopewa uzito unaostahili lakini pia kuna changamoto nyingine
(Sauti ya Mutevu)
Na wanapobaini waliotekeleza uhalifu huo hatua ni zipi?
(Sauti ya Mutevu)