Skip to main content

Wanakijiji wapata elimu ya lishe bora kwa mtoto nchini Tanzania

Maziwa yana uwezo wa kuboresha lishe kwa familia za wafugaji
Picha EADD/Neil Thomas/FAO
Maziwa yana uwezo wa kuboresha lishe kwa familia za wafugaji

Wanakijiji wapata elimu ya lishe bora kwa mtoto nchini Tanzania

Afya

Kila mwaka Agosti mosi ni mwanzo wa wiki ya unyonyeshaji duniani ikiwa na lengo la kutoa elimu na kuhimiza jamii kuhusu umuhimu wa mtoto kupata maziwa ya mama kwa miezi sita ya mwanzo ya maisha yake.

Kwa kuzingatia hilo mashirika mbali mbali yamechukua jukumu hilo la kuelimisha jamii kuhusu lishe bora hususan kwa watoto wachanga.

Moja ya mashirika hayo ni Save the Children nchiniTanzania ambalo leo limetembelea Kijiji cha Lubeho wilaya ya Gairo mkoa wa Morogoro kwa ajili ya maonyesho kuhusu namna ya kuandaa chakula cha watoto. Akizungumza na John Kabambala wa radio washirika Tanzaniakids FM Afisa mtendaji kata ya Lubeho Rashid Fungafunga

Amesema suala lishe bado ni changamoto kwani

(Sauti ya Rashid)

Na je akina mama wanazungumziaje suala nzima la lishe kwa watoto, haya ni baadhi ya maoni yao.

(Voxpop akina mama)