Msiba huu umetuathiri sana, marehemu ni marafiki na wafanyakazi wenzetu - Joyce Msuya

Joyce Msuya, Kaimu Mkurugezi wa UNEP kulia akiwa katika halfa ya kuwaenzi wafanya kazi wa UN waliopoteza maisha katika ajali ya ndege
UNEP

Masuala ya UM

Wakati maombolezo ya vifo vya wafanyakazi 21 wa Umoja wa Mataifa yakiendelea katika ofisi mbalimbali duniani kote, shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa mazingira UNEP, mjini Nairobi Kenya ni miongoni mwa mashirika ya Umoja wa Mataifa yaliyopata pigo la ajali hiyo.

Akiongea na Idhaa ya kiswahili ya Umoja wa Mataifa kwa njia ya simu kutoka Nairobi kenya kandoni mwa mkutano wa Baraza kuu la mazingira duniaambapo wengi wa wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa walikuwa wakielekea , Joyce Msuya ambaye ni kaimu Mkurungezi wa UNEP amesema…….

Sauti ya Joyce  Msuya

Na vipi msiba huu umeathiri maudhui ya  mkutano huo wa siku 5 uliowakusanya wanamazingira kutoka pande zote za dunia  ?

Joyce Msuya, Kaimu Mkurugezi wa UNEP akiwa katika halfa ya kuwaenzi wafanya kazi wa UN waliopoteza maisha katika ajali ya ndege
UNEP
Joyce Msuya, Kaimu Mkurugezi wa UNEP akiwa katika halfa ya kuwaenzi wafanya kazi wa UN waliopoteza maisha katika ajali ya ndege

Sauti ya Joyce  Msuya

Ameongeza kuwa  Umoja wa Mataifa unaendelea kuwasiliana na ndugu  na jamaa wa marehemu popote walipo ili kutoa msaada wa hali na mali , na pia kuandaa mchakato wa mazishi  katika kuwaenzi marehemu.