Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Umuhimu wa takwimu ni dhahiri katika zama za sasa-bw. Omondi

Kongamano la Umoja wa Mataifa la takwimu Duniani
Nembo na UN/World Data Forum
Kongamano la Umoja wa Mataifa la takwimu Duniani

Umuhimu wa takwimu ni dhahiri katika zama za sasa-bw. Omondi

Ukuaji wa Kiuchumi

Lengo la mkutano huu wa takwimu ni kutathmini na kujadiliana jinsi ya kuboresha idara za takwminu duniani kote ili kuhakikisha takwimu bora zinafikiwa ili kutimiza malengo ya maendeleo endelevu.

Hiyo ni kauli ya Collins Omondi mkurugenzi wa takwimu za uchumi kwenye ofisi ya taifa ya Takwimu nchini Kenya. Bwana Omondiakizungumza na Idhaa ya kiswahili kandoni mwa mkutano wa kila mwaka wa wakuu wa ofisi za takwimu za nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kwenye kikao cha 50 kinachokunja jamvi hii leo Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa hapa mjini New York Marekani, amenielezea mabadiliko ambayo yamejitokeza katika sekta ya takwimu.

(Sauti ya Omondi)

Na nyumbani Kenya anakotoka, bwana Omondi amesema sasa hivi takwimu zinatumika kupima maendeleo.

(Sauti ya Omondi)