Tunatunza lugha yetu kwa kuwa inatusaidia- Wamaasai

Mtoto wa kimasai nchini akipata maarifa kupitia simu ya kiganjani .
Picha/Worldreader
Mtoto wa kimasai nchini akipata maarifa kupitia simu ya kiganjani .

Tunatunza lugha yetu kwa kuwa inatusaidia- Wamaasai

Utamaduni na Elimu

Miongoni mwa lugha za asili ambazo zinaelezwa kuhifadhiwa kizazi na kizazi ni lugha ya kimasai ambayo watumiaji wameelezea jinsi wanavyoitumia kuhamishia maarifa si tu ya kisasa bali pia ya kijadi.

Nats..

Huyu ni Alais Esoto, mmasai kutoka Monduli mkoani Arusha nchini Tanzania.

Anazungumza kwa lugha yake mama ya kimasai juu ya umuhimu wa lugha hiyo wakati huu ambapo Umoja wa Mataifa umezindua rasmi hii leo mwaka wa kimataifa wa lugha za asili.

Tumemuuliza Esoto ambaye pia ni mratibu wa shirika la kiraia la Naserian la kusaidia haki za wajane na watoto Afrika Mashariki, lugha ya kimasai ina faida gani?

(Sauti ya Alais Esoto)

Na je wanafanya nini kuihifadhi na kuitunza?

(Sauti ya Alais Esoto)