Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ajenda 4 kusongesha malengo ya SDGs mbele- Kenya, waziri Munya

Malengo ya maendeleo endelevu, SDGs  yako 17 .
UN SDGs
Malengo ya maendeleo endelevu, SDGs yako 17 .

Ajenda 4 kusongesha malengo ya SDGs mbele- Kenya, waziri Munya

Malengo ya Maendeleo Endelevu

Katika kusongesha mbele malengo ya maendeleo endelevu SDGs, Kenya imezindua mpango maalum wa mambo manne makuu katika kipindi cha miaka mitano ijayo ambayo ukomo wake ni 2022.

Akizungumza na Idhaa ya Kiswahili kandoni mwa kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijni New York, Marekani Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na maendeleo ya maeneo ya Kaskazini, Kenya Peter Munya amesema mambo hayo manne ni

(Sauti ya Peter Munya)

Bwana Munya akasema kwa kufanikisha malengo hayo manne matokeo yake ni

(Sauti ya Peter Munya)