Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kutobaini mapema na kutibiwa TB ni mtihani mkubwa Afrika:WHO

Afisa wa utibabu  akiwa anajitayarisha kupa damu kuona kama ina malaria.
PAHO/WHO Photo
Afisa wa utibabu akiwa anajitayarisha kupa damu kuona kama ina malaria.

Kutobaini mapema na kutibiwa TB ni mtihani mkubwa Afrika:WHO

Afya

Fursa ya kutopimwa mapema, kugundulika na kupata matibabu yanayostahili ya ugonjwa wa kifua kikuu ndio mtihani mkubwa wa mapambano ya vita dhidi ya ugonjwa huo barani Afrika. 

Hayo yameelezwa na Dr Enos Masini mshauri wa magonjwa ya kifua kikuu na malaria wa WHO nchini Kenya akizungumza na Umoja wa Mataifa wakati huu ambao kikao cha 73 cha Baraza Kuu kinajadili mbinu za kutokomeza ugonjwa huo. Akifafanua kuhusu kuhusu changamoto za kuutokomeza ugonjwa huo hususan barani Afrika amesema

(SAUTI YA DR ENOS MASINI )

Na je kwa nini changamoto hii inaendelea licha ya juhudi kubwa zinazofanyika kuelimisha jamii?

(DR ENOS MASIN )

Nini basi kifanyike kwa mataifa haya ya Afrika?

(DR ENOS MASIN )