Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kwa faida ya Afrika mwelekeo wa uhamiaji lazima ubadilike:UNCTAD

 Katibu Mkuu wa kamati ya Umoja wa Mataifa ya biashara na maendeleo UNCTAD, Dkt. Mukhisa Kituyi akizungumza na Flora Nducha wa Idhaa hii
UN News/Priscilla Lecomte
Katibu Mkuu wa kamati ya Umoja wa Mataifa ya biashara na maendeleo UNCTAD, Dkt. Mukhisa Kituyi akizungumza na Flora Nducha wa Idhaa hii

Kwa faida ya Afrika mwelekeo wa uhamiaji lazima ubadilike:UNCTAD

Wahamiaji na Wakimbizi

Madiliko kuhusu suala la uhamiaji barani Afrika ni lazima, kwani yatasaidia kwanza kubadili fikra na mtazamo kuhusu suala la uhamiaji, lakini pia kusongesha mbele gurudumu la maedeleo endelevu au SDG’s kwa mataifa ya bara hilo.

Hayo ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa kamati ya Umoja wa Mataifa ya biashara na maendeleo UNCTAD, Dkt. Mukhisa Kituyi akizungumza na Idhaa hii wakati wa mjadala wa ngazi ya juu wa kikao cha 73 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya muundo na uhamiaji barani Afrika.

Akifafanua kuhusu lengo la mkutano huo ambalo ni kubadili fikra kuhusu uhamiaji  na kukumbatia faida zake , Dkt. Kituyi amesema takribani asilimia 53 ya wahamiaji wa Kaafrika huenda katika mataifa mengine ya Afrika na sio nje ya bara hilo.

(SAUTI YA DKT MUKHISA KITUYI-1)

Na kuongeza kwamba

(SAUTI YA DKT KITUYI -2)

Na baada ya mkutano huu

(SAUTI YA DKT KITUYI 3)