Ujumuishwaji wa jamii ya asili katika SDGs ndio siri ya mafanikio : Dk Laltaika
Malengo ya Maendeleo Endelevu
Ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, serikali na asasi za kiraia duniani kote zinahimizwa kuzijumuhisha na pia kuzishirikisha jamii za watu wa asili katika mikakati ya kitaifa na kimataifa ya ajenda hiyo ya 2030
Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili kwa njia ya simu, Dkt. Elifuraha Laltaika ambaye ni mtaalamu wa jukwaa la kudumu la watu wa asili la Umoja wa Mataifa amesema kutozijumuiisha jamii hizo katika mchakato wa kitaifa au kimataifa kunaathiri maendeleo ya siyo tu jamii hizo bali pia taifa na mataifa.
Sauti ya Dkt Laltaika
Na je nini kifanyike ili kufikia malengo ya pamoja?
Sauti ya Dkt Laltaika