Polisi wanawake kutoka nchini Tanzania wana mchango mkubwa katika operesheni za ulinzi wa aman iza Umoja wa Mataifa na mara nyingi kazi yao ni zaidi ya kuhakikisha usalama wa raia.
Kauli hiyo imetolewa na Kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi nchini Tanzania ambaye pia ni mkuu wa kitengo cha mawasiliano ya kimataifa na ulinzi wa mipaka , Suzanne Kaganda alipozungumza na idhaa hii kandoni mwa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mchango wa polisi katika operesheni za ulinzi wa amani , uliofanyika New York Marekani na kuongeza kuwa
(SAUTI YA SUZANNE KAGANDA )
Na nini kingine cha nyongeza kutoka kwa polisi hao wanawake?
(SAUTI YA SUZANNE KAGANDA )