Ugumu wa maisha ulichukua ujana wangu
Ugumu wa maisha unaowakabili wakimbizi wa ndani nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC, ni moja ya vichocheo vya wazazi kulazimika kuwaoza watoto wao.
Kutana na Boniface, kijana barubaru mwenye umri wa miaka 18 kutoka Jimbo la Kalemie, nchini DRC ambaye ghasia kati ya kabila la watwa na waluba zimemlazimu kukimbilia hapa kwenye kambi ya wakimbizi jimboni Tanganyika.
Boniface akiwa na mkewe Anuarite mwenye umri wa miaka 16 anaelezea jinsi ndoa yake ilivyoathiri ujana wake…..
Sauti ya Boniface
Naye Anuarite anaeleza ugumu wa maisha baada ya shinikizo la kuolewa….
Sauti Ya Anuarite
Wanandoa hawa wanasema awali walidhani njia pekee ya kujikwamua kimaisha ilikuwa kuendana na matakwa ya wazazi wao ya ya kuoana kama anavyosimulia Anuarite….
Sauti ya Anuarite
Boniface naye…..
Sauti ya Boniface
Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini DRC vimesababisha maelfu ya vijana barubaru
nchini humo kukosa fursa ya elimu, afya na ajira Anuarite na Boniface wanaeleza ndoto zao kabla vita ….
Sauti ya Anuarite
Huku Boniface naye…..
Sauti ya Boniface.
Licha ya kwamba wameoana wakiwa wadogo, Anuarite ana ushauri upi kwa vijana wengine..
Sauti ya Anuarite