Dini inaweza kuwa daraja la kuzivusha nchi kufikia SDG’s:Munene

25 Julai 2018

Katika jamii yoyote duniani, dini ina nguvu sana, iwe ni kwa kuwaunganisha watu, kuchagiza amani, kutatua migogoro na hata kutoa ushauri kwa serikali na jamii, kwa kulitambua hilo mtandao wa kimataifa wa Faith to Action unaojumuisha dini mbalimbali unasema umewadia wakati mchango wa dini ukapewa kipaumbele kwani ushawishi wake unaweza kuwa daraja la kuzivusha nchi kufikia malengo ya maendeleo endelevu SDG’s hapo 2030.

Akizungumza na radio ya Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani wakati wa mkutano wa mchango wa dini katika utekelezaji wa SDG’s  na changamoto za uhamiaji, Peter Munene mtendaji mkuu wa mtandao wa Faith to Action Network amesema vijana wana mchango muhimu ni lazima kuwaupusha na tamaaya kuwa wahamiaji ndani hata nje

(PETER MUNENE CUT 1)

Sasa nini kifanyike?

(PETER CUT 2)

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter