Mashirika ya kiraia yako mashinani mchango wao haukwepeki-Bi.Sanou

20 Julai 2018

Mashirika ya kiraia au NGOs yana nafasi kubwa katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDG hivyo serikali ziimarishe uhusiano na mashirika hayo.

 

Selina Cheseren Sanou kutoka shirika la kiraia la ACORD nchini Kenya amesema hayo jijini New York, Marekani alipozungumza na Idhaa hii akieleza kuwa mchango huo unatokana na ukweli kwamba wao ndio wako mashinani.

(Sauti ya Selina Sanou)

Hata hivyo  Bi. Sanou amesema  ingawa ni muhimu kwa serikali na mashirika hayo kufanya kazi pamoja,  wakati mwingine ni  mtihani mkubwa kwa sababu 

(Sauti ya Selina Sanou)

TAGS: ACORD, Selina Sanou, Kenya, SDGs NGOs

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud