Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kuolewa ni changamoto kubwa kwa mwanamke mwenye ulemavu-Seneta Mwaura

Mbunge kutoka Kenya Isaack Mwaura.(Picha:UNIC/Nairobi)

Kuolewa ni changamoto kubwa kwa mwanamke mwenye ulemavu-Seneta Mwaura

Haki za binadamu

Unyanyapaa bado upo kati ya wanawake na wanaume walio na ulemavu katika masuala mbalimbali kwenye jamii ikiwemo katika ufikiaji wa huduma muhimu na za msingi.  Hiyo ni kauli ya Seneta Isaac Mwaura kutoka Kenya katika mahojiano maalum na Idhaa ya Kiswahili.

Akihojiwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa Seneta Mwaura ambaye ana ulemavu wa ngozi amesema mtazamo wa jamii kwa watu walio na ulemavu una tofauti kubwa katika misingi ya jinsia na hivyo…

(Sauti ya Mwaura)

Ameongeza kuwa anatumia nafasi yake ya useneta kuhakikisha kwamba haki za watu wanaoishi na ulemavu zinasongeshwa mbele.

(Sauti ya Mwaura)

Seneta Mwaura akaelezea matumaini yake kwa siku zijazo..

(Sauti ya Mwaura)