Twakata misitu twajiumiza wenyewe- Samia

Misitu.(Picha;World Bank/Curt Carnemark

Twakata misitu twajiumiza wenyewe- Samia

Tabianchi na mazingira

Nchini Tanzania nako maadhimisho ya siku ya mazingira duniani yamefanyika kitaifa jijini Dar es salaam ambako Umoja wa Mataifa, serikali na wadau wameazimia kuendelea kushirikiana ili kudhibiti uharibifu wa mazingira.

Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambaye kabla ya kuhutubia alitembelea maonyesho ya harakati za mbinu za kulinda mazingira,  katika ujumbe wa kitaifa nchini humo ambao ni  mkaa ni gharama tumia nishati mbadala.

(Sauti ya Samia Suluhu Hassan)

Naye Waziri anayehusika na mazingira, January Makamba akasema..

(Sauti ya January Makamba)

Na ndipo mratibu mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Alvaro Rodriguez akafunguka.

(Sauti ya Alvaro Rodriguez)

TAGS: Tanzania, mazingira, misitu, Alvaro Rodriguez, Samia Suluhu Hassan, January Makamba