Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ukarimu wa waganda wavutia wakimbizi

Nchini Uganda, wakimbizi kutoka Sudan Kusini na DRC wakiwa katika harakati za kupata mlo. (Picha:UN/Mark Garten)

Ukarimu wa waganda wavutia wakimbizi

Wahamiaji na Wakimbizi

Uganda ni miongoni mwa mataifa ambayo  yanayoendelea kupokea wakimbizi kutoka nchi jirani ya jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC . Wakimbizi hao wanatoka maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo na sasa wamefika ugenini Uganda na wanajiona wako nyumbani kutokana na ukarimu wa wenyeji. 

Kuna wakimbizi wa aina mbili nchini Uganda. Wale wanaoishi katika makazi ya wakimbizi na wengine wanaishi sehemu za mijini wakiendesha maisha yao.

Miongoni mwa wanaoishi mjini ni Honda Charles kutoka jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, DRC na yeye anaeleza hali ya maisha ya ukimbizi.

(Sauti ya Honda Charles)

Hata hivyo inasemekana kuwa wakimbizi wanaoishi sehemu za mijini hupata msaada kidogo kutoka serikalini na Honda anafafanua..

(Sauti ya Honda Charles)

Hata hivyo Honda anasema mpango huo si mbaya kwake.

(Sauti ya Honda Charles)