Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wazungumzaji wa Kiswahili ni zaidi ya milioni 200- Prof. Mutembei

Je wazungumza Kiswahili?
UN News
Je wazungumza Kiswahili?

Wazungumzaji wa Kiswahili ni zaidi ya milioni 200- Prof. Mutembei

Utamaduni na Elimu

Vuta nikuvute imeibuka kuhusu idadi ya watu wanaozungumza lugha ya kiswahili duniani. Je ni milioni 98 kweli kama inavyojadiliwa sasa au la?

 

Lugha za asili barani Afrika zinaangaziwa tarehe 25 mwezi huu wa Mei, ambayo ni siku ya Afrika.

 

Kuelekea siku hiyo, kumekuwepo na taarifa ya kwamba lugha ya kiswahili ambayo asili yake ni barani Afrika, ni ya kwanza kwa kuzungumzwa na watu wengi zaidi ikifuatiwa na Hausa halafu Yoruba.

Jambo lililoibua hoja na mjadala mzito kwenye mtandao wa Twitter, si kuongoza kwa lugha hiyo bali ni idadi iliyowekwa ambayo ni milioni 98.

Ili kusaka ukweli wa hoja hiyo nimezungumza na Profesa Aldin Mutembei, kutoka Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, TATAKI, na kumuuliza je takwimu ni sahihi?

(Sauti ya Profesa Aldin Mutembei)

 

Profesa Mutembei akaenda mbali zaidi akisema.

 

(Sauti ya Profesa Aldin Mutembei)

 

 

TAGS: Kiswahili, Aldin Mutembei, Afrika