Jukwaa la mawasiliano kati yetu ni muarobaini- Dkt. Mwakyembe

3 Mei 2018

Mazingira yalivyo hivi sasa ni lazima kuwepo na mawasiliano ya mara kwa mara kati ya serikali na vyombo vya habari.

Tanzania imesema suala la kuwa na jukwaa la mawasiliano lenye tija kati ya serikali na vyombo vya habari ni hoja yenye tija kwa kuzingatia mazingira ya sasa ya uhabarishaji ulimwenguni.

 

Waziri wa Habari, Harrison Mwakyembe amesema hayo leo jijini Dodoma nchini Tanzania wakati wa maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani  maudhui yakiwa ufuatiliaji wa mamlaka, vyombo vya habari, haki na utawala bora.

 

Dkt. Mwakyembe amesema..

 

(Sauti ya Dkt. Harrison Mwakyembe)

 

Waziri huyo ambaye pia ni mwandishi wa habari mkongwe akatoa mfano..

 

(Sauti ya Dkt. Harrison Mwakyembe-3)

 

Na hatimaye akafunguka

 

(Sauti ya Dkt. Harrison Mwakyembe-3)

 

TAGS: Harrison Mwakyembe, WPFD18, Tanzania

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud