Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mambo ni magumu lakini tusikate tamaa- Mukajanga

Uhuru wa vyombo vya habari ni moja ya haki ambazo zinapaswa kuheshimika zaidi nchini Somalia. Picha ya UNSOM.

Mambo ni magumu lakini tusikate tamaa- Mukajanga

Sheria na Kuzuia Uhalifu

Nchini Tanzania Baraza la Habari nchini humo, MCT, limesema maudhui ya mwaka huu ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari yamekuja wakati muafaka ambapo uhuru wa vyombo vya habari unabinywa kimataifa hadi kitaifa. 

Maudhui ya siku ya leo ya uhuru wa vyombo vya habari ni ufuatiliaji wa utendaji wa mamlaka, haki na utawala wa kisheria ambapo Katibu Mtendaji wa MCT Kajubi Mukajanga amekihojiwa na Idhaa hii amesema wao kama baraza wanasaidia kuweka mazingira bora kwa vyombo vya habari na wanahabari wawe na uwezo na ueledi wa kufanya kazi yao lakini.

(Sauti ya Kajubi Mukajanga)

Hata hivyo amesema…

(Sauti ya Kajubi Mukajanga)