Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake tusitazamane mavazi, tusonge mbele- Melab

Ushirikiano baina ya wanawake ni muarobaini wa maendeleo hata kule mashinani kama inavyoonekana pichani walinda amani wanawake huko Darfur, Sudan wakielekeza wanawake mapishi ya maandazi.
UN /Muntasir Sharafdin

Wanawake

Idadi ya wanawake ni kubwa lakini bado nafasi zao kwenye viti vya kuchaguliwa bado  ni chache na watu husalia kuhoji mbona hawapigiani kura? 

Mvutano baina ya wanawake ni mojawapo ya mambo yanayokwamisha kusonga mbele kwa kundi hilo, licha ya kwamba idadi yao ni kubwa duniani.

Melab Lumalah ambaye ni mwakilishi wa wanawake katika bunge la kaunti ya Nairobi, amesema hayo jijiin New York, Marekani wakati wa mahojiano yake na Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa.

Bi. Lumalah amesema ya kwamba..

(Sauti ya Melab Lumalah)

Na kwa mantiki hiyo anasema..

(Sauti ya Melab Lumalah)