Usawa wa kijinsia haumaanishi kuwakandamiza wengine

16 Machi 2018

Mkutano wa 62 wa kamisheni ya hali ya wanawake duninai, CSW62, unaoendelea  jijini New York, Marekani unaangazia mada mbalimbali na umeweza kuwaongezea maarifa washiriki kutoka nchi mbalimbali.

Mmoja wa washiriki hao ambaye anasema amefaidika na mkutano huo mpaka sasa  ni Oliver Kinabo kutoka Da-es Salaam nchini Tanzania.

Akigusia mada ya kumwezesha mwanamke masuala ya kijamii, kiuchumi na siasa ameondoa hofu miongoni mwa wanaume ya kujihisi kuwa jinsia ya kike inataka kuipiku ya kiume kutokana na mkutano wenyewe.

(Sauti ya Oliver Kinabo)

Amekanusha nadharia ya kwamba uwepo wa wanaume kwenye vikao vya wanawake ni sawa na kuwabembeleza wanaume akisema..

(Sauti ya Oliver Kinabo)

 

♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter