Ukimuathiri mama, mtoto pia huathirika- Nkinga

16 Machi 2018

Wakati Umoja wa Mataifa na wadau wake wanapambana kukomesha ukatili na unyanyasaji dhidi ya wanawake, serikali ya Tanzania nayo pia ipo mstari wa mbele kuhakikisha hakuna mwanamke au mtoto  wa kike atakayebaki nyuma katika mpango huo madhubuti.

Akizungumza na Idhaa ya kiswahili ya Umoja wa Mataifa punde tu baada ya kuhutubia mkutano wa 62 wa kamisheni ya hali ya wanawake jijini New York, Marekani, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Watoto na Wazee nchini Tanzania Sihaba Nkinga amesema..

(Sauti ya Sihaba Nkinga)

Kuhusu tathmini na ufuatiliaji wa mpango huo ulioanzishwa mwaka 2011 ukijikita na ukomeshaji wa ukatili dhidi ya wanawake chini ya ofisi ya Waziri Mkuu,  Bi Nkinga amesema..

(Sauti ya Sihaba Nkinga)

 

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud