Wanawake wakiwezeshwa wanaweza:UN Women

6 Machi 2018

Katika kuelekea siku ya wanawake duniani ambayo kila mwaka hua Machi 8, mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa yamekuwa yakipiga debe kuahakikisha mwanamke na msichana wanajumuishwa katika ajenda zao na hususani shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na mwasuala ya wanawake UN Women.

Kwa kutumia ofisi zake katika za mashinani katika nchi mbalimbali linatoa elimu, misaada, mafunzo na nyezo zitakazompa fursa mwanamke ya kujikomboa.  Nchini Tanzania harakati zimeshika kasi japo bado kunachangamoto kwa wanawake wenyewe, hususani walioko vijijini. Mejerina Laakya ni mkurugenzi wa wa Idara ya UN women ya kuwezesha wanawake kiuchumi nchini Tanzania.

(SAUTI YA MEJERINA LAAKYA)

Ameongeza kuwa  lengo ni wanawake hao kuongeza pato lao kama wakulima na wafanyabiashara, lakini je UN women inafanya nini kufanikisha hilo

(SAUTI YA MEJERINA LAAKYA -2)