Uhamiaji ni suala mtambuka, wabunge walivalia njua: UN

23 Februari 2018

Wabunge kutoka nchi mbalimbali duniani wanakutana makao makuu ya Umoja wa Mataifa  mjini New York Marekani kubadilisha mawazo ya jinsi ya kukabiliana na suala mtambuka la uhamiaji.  

Miongoni mwa wabunge wanaoishiriki ni mbunge wa jimbo la Kiambu Kenya  Jude Njomo. Anaeleza sababu kadhaa zinazosababisha uhamiaji.

(SAUTI YA JUDE NJOMO)

Mkutano huu unatafuta maoni kutoka kwa mabunge  mbalimbali wanachama wa muungano wa wabunge duniani IPU , yatakayojadiliwa katika kikao cha baraza la Umoja wa Mataifa mwezi ujao, kitakachotoka na  mkakati wa kimataifa  kuhusu uhamiaji. Uhamiaji Afrika  Afrika Mashariki ukoje.

(SAUTI YA JUDE NJOMO)

KAmeongeza kuwa kuna matumaini

(SAUTI YA JUDE NJOMO)

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud