Utangazaji michezo redioni umeniimarisha- Jane John

13 Februari 2018

Utangazaji wa michezo kupitia redio umenisaidia siyo tu kutambulika bali pia kujifunza mengi na hivyo kuimarisha stadi zangu na kuhabarisha jamii inayonisikiliza.

 

Hiyo ni kwa mujibu wa Jane John, mtangazaji na mwandishi wa habari za michezo mwanamke wa shirika la utangazaji nchini Tanzania, TBC katika mahojiano yake na Idhaa hii kutoka Dar es salaam wakati wa maadhimisho ya siku ya Radio duniani hii leo, maudhui yakiwa ni radio na michezo.

Jane amesema..

(Sauti ya Jane John)

Amesema kupitia umakini katika kazi hiyo wasikizaji wake nao sio tu wanajenga imani kwake bali pia wanajifunza..

(Sauti ya Jane John)

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter