Tumieni fursa ya Davos kuweka bayana taswira ya Afrika- Dkt. Kituyi

26 Januari 2018

Jukwaa la kiuchumi duniani likiendelea huko Davos, Uswisi, Katibu Mkuu wa Kamati ya biashara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa, Dkt. Mukhisa Kituyi ametaja umuhimu wa viongozi wa Afrika na wengineo wenye fikra endelevu kushiriki katika vikao vya aina hiyo.

Akihojiwa huko Davos, Uswisi na Umoja wa Mataifa Dkt. Kituyi amesema..

(Sauti ya Dkt. Kituyi)

Na kwa upande wa viongozi wa Umoja wa Mataifa Dkt.Kituyi amesema..

(Sauti ya Dkt. Kituyi)

Katika mkutano huo Umoja wa Mataifa umewakilishwa na Naibu Katibu Amina J. Mohammed.

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud