Kazi ni kazi bora mkono uende kinywani

24 Januari 2018

 

Vijana hutumia mbinu mbalimbali ili kukidhi  mahitaji ya maisha yao ya kila siku na fani ya ulimbwende au uanamitindo imekuwa ni moja  ya  fani zinazowavutia vijana , kwanza ikiwajengea umaarufu mkubwa lakini pia kuwasaidia kuwa na ajira ya kikidhi mahitaji yao.

Vijana hutumia mbinu mbalimbali ili kukidhi  mahitaji ya maisha yao ya kila siku na fani ya ulimbwende au uanamitindo imekuwa ni moja  ya  fani zinazowavutia vijana , kwanza ikiwajengea umaarufu mkubwa lakini pia kuwasaidia kuwa na ajira ya kikidhi mahitaji yao. Hakimu Nkengurutse kijana wa miaka 21 kutoka vijijini  nchini  Burundi amevuka mito na bahari na kutua  nchini Afrika ya Kusini ambako anakofanya kazi ya uanamitindo.

Na baada ya kufanikiwa kwenye kazi hiyo, Hakim sasa anatumia muda wa mapumziko  katika nchi yake ya asili  Burundi ili kuwachagiza vijana wenzie kuchangamkia  faini hiyo ambayo imegeuza Maisha yake. Kufahamu zaidi safari ya mafanikio yake ungana na mwandishi wetu wa Maziwa Makuu Ramadhani KIBUGA katika Makala hii.

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter