Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jarida la Umoja wa Mataifa- VIDEO

Jarida la Umoja wa Mataifa- VIDEO

Pata habari motomoto kutoka Umoja wa Mataifa na leo Leah Mushi anaanza na mambo sita ya kuzingatia kuepusha kutupa hovyo chakula wakati huu wa msimu wa sikukuu, wanawake washika hatamu Papua New Guinea kuimarisha afya ya uzazi na huko Tanga, Tanzania wananchi wapigia chepuo elimu bure.