Uislamu ni dini ya rehema na si ugaidi- Ahmed

16 Novemba 2017

Huko London, Uingereza hii leo kunafanyika mkutano kuhusu masuala ya ugaidi ambapo mmoja wa manusura wa tukio la ugaidi nchini Uganda amezungumza na Idhaa hii akitaka elimu zaidi kwa watoto na vijana ili wasitumbukizwe kwenye ugaidi.

Nats..

Hii ni sauti ya manusura wa ugaidi Ahmed Hadji ambaye simulizi  yake inatokana na shambulio la kigaidi nchini Uganda mwaka 2010 wakati yeye na rafiki zake wakiangalia mechi ya mpira.

Ahmed anasema kilichomshtua zaidi wakati yuko hospitali ni kwamba..

(Sauti ya Ahmed)

Ili kuondokana na fikra hizo hivi sasa Ahmed na wenzake waliasisi shirika la kiraia la jukwaa la maendeleo ya vijana wa kiislamu Uganda, UMYDF ambapo amesema..

(Sauti ya Ahmed)

Na hatimaye Ahmed akawa na ujumbe kwa vijana ambao hurubiniwa na kutumbukia kwenye ugaidi kwa lengo la kupata mali haraka..

(Sauti ya Ahmed)