Skip to main content

Jarida la leo kutoka Youtube #SUBSCRIBE

Jarida la leo kutoka Youtube #SUBSCRIBE

Sasa waweza pia pata jarida letu kupitia Youtube @UNNewsKiswahili. Katika ukurasa wetu wa Youtube utapata Jarida la kila siku bila kusahau habari za adhuhuri ambazo hatukuweza kukuletea kwenye jarida la asubuhi. Halikadhalika video ya Wiki Hii. SUBSCRIBE ili upate habari kila wakati kutoka Umoja wa Mataifa. Leo tumeangazia COP23 kutoka Bonn, Ujerumani, Benki ya Dunia na uhaba wa maji Tanzania na makala ya mjane huko Uganda ambako hata maziko ya mumewe hakuruhusiwa kushiriki ili asirithi mali.