Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Siku ya Umoja wa Mataifa yasheheni ikiwemo burudani

Siku ya Umoja wa Mataifa yasheheni ikiwemo burudani

Umoja wa Mataifa Oktoba 24 umetimiza miaka 72 tangu kuanzishwa kwake ukijivunia usimamizi wa misingi yake mikuu minne iliyoridhiwa mwaka 1945 huko San Franscisco wakati chombo hicho kilianzishwa.

Siku hiyo imeadhimishwa wiki hii kwa njia mbali mbali ikiwemo tumbuizo ambapo Patrick Newman ametuandalia makala ifuatayo, ungana naye.