Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sekta ya mafuta na gesi yatoa fursa ya ajira kwa vijana Uganda-Sehemu ya Pili

Sekta ya mafuta na gesi yatoa fursa ya ajira kwa vijana Uganda-Sehemu ya Pili

Wakati vijana wakikabiliwa na ukosefu wa ajira katika nchi nyingi, yaelezwa kuwa ni muhimu vijana wajifunze stadi mbalimbali ili waweze kupata ajira hususan katika sekta isiyo rasmi.

Nchini Uganda kufuatia ugunduzi wa mafuta kumekuwa na mahitaji ya waajiriwa katika sekta hiyo. Lakini je kuna uwezekano wa vijana kuwa na stadi zinazohitajika kupata ajira katika sekta hiyo changa ya mafuta na gesi.

Basi ungana na John Kibego katika awamu ya pili ya makala hii akizungumza na kijana Mosses Chingching, mmoja wa wachache waliowahi kuajiriwa katika sekta changa ya mafuta na gesi nchini Uganda...