Vijana katika malengo ya maendeleo Afika ni chachu ya mafanikio:EAC

17 Oktoba 2017

Vijana sio tu taifa la kesho, bali pia ni muhimili wa leo katika kutimiza ajenda ya umoja wa Mataifa ya maendeleo endelevu SDG’s na ajenda ya Afrika ya 2063.

Hayo ni kwa mujibu wa Bwana Charles Njoroge naibu Katibu Mkuu wa shirikisho la kisiasa katika Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) anayehudhurika mikutano ya wiki ya Afrika inayoendelea kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa hapa New york.

Moja ya ajenda katika mikutano hiyo ni uwezeshaji wa vijana, Bwana Njoroge anasisitiza

(NJOROGE CUT 1)

Kuhusu hatua wanazochukua amesema

(NJOROGE CUT 2)

Na nini matarajio yake katikawiki hii?

(NJOROGE CUT 3)