Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Bei za vyakula masokoni zimezidi kupanda kila uchao-Burundi

Bei za vyakula masokoni zimezidi kupanda kila uchao-Burundi

Wakati Ulimwengu ukichagiza uwekezaji zaidi kwenye chakula na  maendeleo ya vijijini  ili kukabiliana na njaa, hata hivyo katika baadhi ya maeneo watu  wameendelea kulalamikia uhaba  mkubwa wa chakula.

Nchini Burundi , siku ya chakula duniani imeadhimihswa  wakati bei za  vyakula masokoni zimezidi kupanda kila uchao.

Mwandishi wetu wa maziwa makuu  Ramadhani KIBUGA makuu ametembelea soko moja la mjini Bujumbura na kutuandalia taaarifa hii.