Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wiki ya Afrika yaanza leo New York, ajenda za maendeleo kujadiliwa.

Wiki ya Afrika yaanza leo New York, ajenda za maendeleo kujadiliwa.

Wiki ya Afrika kwenye Umoja wa Mataifa ikiwa imefungua pazia leke hii leo kwa kuwakutanisha  viongozi wa bara hilo New York , Marekani kujadili mafanikio na changamoto za bara hilo, imeelezwa kuwa mipango ya maendeleo itapatiwa kipaumbele katika mijadala. Tarifa kamili na Selina Cherobon

(TAARIFA YA SELINA)

Akizungumza na idhaa hii katika mahojiano maalum,  Afisa Mwandamizi kitengo cha mawasiliano , kamisheni ya uchumi Afrika Mercy Wamboi amesema dira wiki hii itajikita zaidi katika.

( Sauti Wambui)

Bi Wambui amesema kupitia wiki hii waafrika watarajie

( Sauti Wambui)

Amesema watakaohudhuria mijadala hiyo mbali na viongozi wa Afrika ni.

( Sauti Wambui)

Mijadala mathalani itajikita katika mpango wa mpya wa maendeleo barani Afrika, NEPAD unaojumuisha miradi kadhaa ya pamoja ya kikanda kama vile miundombinu, bila kusahau mpango wa bara la Afrika wa kujitathmini, APRM.