Skip to main content

Uwezeshaji wa vijana ni ajenda muhimu Comoro

Uwezeshaji wa vijana ni ajenda muhimu Comoro

Ukipata wazazi waliosoma sio budi na wao wahakikishe watoto wao wanasoma na kujiendeleza kimaisha. Patrick Newman na ripoti kamili. 

(Taarifa ya Patrick)

Hilo ni tamko la Waziri wa Afya, Jinsia na Masuala ya Jamii kutoka Visiwa vya Comoro, Dkt.. Fatma Rashid Mohamed Mbarak ambaye alihojiwa na Idhaa hii kando mwa mjadala wa wazi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani.

Amesema na kama hiyo haitoshi kwa wazazi kuhakikisha watoto wao wanasoma, kile ambacho nchi yake inafanya kuhakikisha wasichana na vijana wanaendelea ni ..

(Dkt. Fatma- 1)

Amezungumzia pia maandalizi ya kupunguza majanga ya asili yanayotishia visiwa hivyo vilivyoko bahari ya Hindi akisema..

(Dkt Fatma- 2)