UNMISS yatowesha hofu kwa watoto Sudan Kusini.

22 Agosti 2017

Hofu,mashaka mtawalia! Haya ni baadhi ya madhila yaliyowakumba watoto nchini Sudan Kusini kabla ya operesheni ya kikosi cha ulinzi wa amani cha  Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS kilichotowesha madhila hayo.

Katika Makala ifuatayo, Joseph Msami anaeleza mustakabali wa watoto nchini Sudan Kusini taifa lililokumbwa na mizozo.