Sierra Leone waomboleza kwa siku saba kufuatia maporomoko

16 Agosti 2017

Nchini Sierra Leone, wananchi wakiendelea na maombolezo ya kitaifa kufuatia janga la maporomoko ya udongo na mafuriko siku ya Jumatatu, Umoja wa Mataifa unaendelea na harakati zake za uokozi na kuepusha mlipuko wa magonjwa. Flora Nducha na ripoti kamili.

(Taarifa ya Flora)

Regent, mji ulioko milimani, takribani kilometa 16 kutoka mji mkuu wa Sierra Leone, Freetown ndio umeathirika zaidi ambapo Jesse Kinyanjui, mtaalamu wa masuala ya kujisafi kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF anaeleza hali ilivyo hivi sasa..

(Sauti ya Jesse)

Amesema pamoja na kuendelea na huduma za uokoaji..

(Sauti ya Jesse)