Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi wazungumuzia msaada wa kibinadamu, Uganda

Wakimbizi wazungumuzia msaada wa kibinadamu, Uganda

Uganda ni moja ya nchi ambayo inahifadhi wakimbizi wengi barani Afrika na inasifika kwa namna serikali inawajumuisha wakimbizi na kuwapa ardhi kama moja ya mbinu ya kuwawezesha kujitegemea.

Kando na hayo inatoa huduma muhimu kwa mfano elimu na huduma nyinginezo. Je ni vipi wakimbizi wanapokea ukarimu kutoka kwa serikali na jamii nchini Uganda? Ungana na John Kibego katika makala ifuatayo.