Mtoto aliyenyonyeshwa ana uhusiano mzuri na jamii-Sehemu ya pili

10 Agosti 2017

Wiki ya unyonyeshaji duniani imehitimishwa juma hili, kuchagiza unyonyeshaji katika miezi sita ya kwanza ya mtoto ili kumrutibisha, kumjenga kiafya na kumuepusha na maradhi yanayoweza kusababisha kifo kama Pepopunda au Pneumonia na ukuaji bora.  Katika sehemu ya pili ya makala hii Amina Hassan anaendelea kuzungumza na Tuzie Edwin, Afisa Lishe wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF nchini Tanzania ambaye leo anaanza kwa kufafanua changamoto zilizopo katika unyonyeshaji wa mtoto mchanga.

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter