Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Bado watu wa asili hawashirikishwi katika maamuzi-Dkt. Laitaika

Bado watu wa asili hawashirikishwi katika maamuzi-Dkt. Laitaika

Hatua kubwa zilizopigwa katika kutambua uwepo wa watu wa asili na kwamba wanastahili kupewa haki zao, lakini bado kuna changamoto nyingi hasa katika utekelezaji wa haki hizo zilizopo katika azimio la watu wa asili.

Hayo yamesemwa na Dr Elifuraha Laitaika kutoka Tanzania ambaye ni mtaalamu huru wa jukwaa la kudumu la Umoja wa Mataifa kuhusu watu wa asili akisistiza kubwa zaidi ni ushirikishwaji

(Sauti ya DR LAITAIKA)